Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts.. serkali ione aibu Hawa watu imewatenga Sana....na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni..Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko kuendelea kuwapotezea mda vijana hao,Serkali liangalieni hili jaman wimbi Hilo limekuwa kubwa Sana mtaani. CCM oyeee... Asanteni Sana ..
Wengi Sana kuanzia 2015-leoAlafu mpo wengi sana... Ngoja tuone...
Ualimu ndo lilikuwa suluhisho la vijana wengi hasa waliotoka katka familia zenye kipato Cha chini..Kwan mlilazimishwa kusoma hizo course?
Na usishangae waliomaliza form six nao wakaomba kwenda kusoma course za ualiku wa arts vyuo vikuu
Let's wait and see
Eti serikali yangu ya CCM!!! Huna akili endelea kusota mpaka akili ikukae sawaUshauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts.
Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni.
Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko kuendelea kuwapotezea mda vijana hao,Serkali liangalieni hili jaman wimbi Hilo limekuwa kubwa Sana mtaani. CCM oyeee.
Asanteni Sana.