Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
WanaJamvi kuna jambo linanikera sana hii Airport ya JKNIA, jambo la wenyewe ni kujaa kwa wahudumu ombaomba.
Nimebahatika kusafiri mara mbilitatu kwenda Mbeya na Mwanza kupitia hii Airport. Serikali iangalie wahudumu walioko ndani pale mtu unapopangiwa seat ya ndege wanaombaomba sana mara niachie hela ya soda, mara sijala sister. Yani kero juu ya kero!
Kwakweli nimekwazika.