Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Mar 14, 2025 #1 Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 1,412 Reaction score 1,669 Mar 14, 2025 #2 Watupatie boom la VETA 😄
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 15, 2025 #3 Sawa sawa
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Mar 15, 2025 #4 Hakika