Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vuli imetabiriwa kuwa chini ya kiwango Cha kawaida, na joto kaliJamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
Nakuunga mikono,miguu na kichwa changu Kwa hoja hii. Changamoto nyingine mitaji elimu tunazo teleMafunzo sio tatizo kwenye kilimo, hayo hata youtube utayapata.
Matatizo kwenye kilimo:
1.Mbloea za uhakika
2.Udhibiti wa Magonjwa na wadudu
3.Utabiri wa hali ha hewa
4.Uthibiti wa bei za mazao
5.Soko
Hayo ndo matatizo, serikali tunataka wa chip in