L Lkkl Member Joined Dec 25, 2020 Posts 31 Reaction score 21 Aug 24, 2024 #1 Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Aug 24, 2024 #2 Bado hujabweka vizuri
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Aug 24, 2024 #3 Lkkl said: Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali Click to expand... Vuli imetabiriwa kuwa chini ya kiwango Cha kawaida, na joto kali
Lkkl said: Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali Click to expand... Vuli imetabiriwa kuwa chini ya kiwango Cha kawaida, na joto kali
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Aug 25, 2024 #4 Mafunzo sio tatizo kwenye kilimo, hayo hata youtube utayapata. Matatizo kwenye kilimo: 1.Mbloea za uhakika 2.Udhibiti wa Magonjwa na wadudu 3.Utabiri wa hali ha hewa 4.Uthibiti wa bei za mazao 5.Soko Hayo ndo matatizo, serikali tunataka wa chip in
Mafunzo sio tatizo kwenye kilimo, hayo hata youtube utayapata. Matatizo kwenye kilimo: 1.Mbloea za uhakika 2.Udhibiti wa Magonjwa na wadudu 3.Utabiri wa hali ha hewa 4.Uthibiti wa bei za mazao 5.Soko Hayo ndo matatizo, serikali tunataka wa chip in
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Aug 28, 2024 #5 The mission 2017 said: Mafunzo sio tatizo kwenye kilimo, hayo hata youtube utayapata. Matatizo kwenye kilimo: 1.Mbloea za uhakika 2.Udhibiti wa Magonjwa na wadudu 3.Utabiri wa hali ha hewa 4.Uthibiti wa bei za mazao 5.Soko Hayo ndo matatizo, serikali tunataka wa chip in Click to expand... Nakuunga mikono,miguu na kichwa changu Kwa hoja hii. Changamoto nyingine mitaji elimu tunazo tele
The mission 2017 said: Mafunzo sio tatizo kwenye kilimo, hayo hata youtube utayapata. Matatizo kwenye kilimo: 1.Mbloea za uhakika 2.Udhibiti wa Magonjwa na wadudu 3.Utabiri wa hali ha hewa 4.Uthibiti wa bei za mazao 5.Soko Hayo ndo matatizo, serikali tunataka wa chip in Click to expand... Nakuunga mikono,miguu na kichwa changu Kwa hoja hii. Changamoto nyingine mitaji elimu tunazo tele