Ila mkuu kuna wakati nami nshaji questionMzuka wanajamvi!
Hakuna mila pale ni maigizo.
Wakati umefika serikali iwakusanye haya makabila ya porini kina hadzabe na kuwapeleka kwenye mapori tengefu lukuki ya serikali yaliozagaa kila mahali nchini na wajishughulishe na kazi za kilimo ili nchi ipate chakula cha kutosha na ghala la taifa lineemeke.
Haiwezekani kuna nguvu kazi imekaa kizembe zembe tu huko chaka kwa kisingizio cha mila.
Hamna mila pale ni maigizo tu. Unakuta mhadzabe siku hizi muhadzabe anavaa chupi/boxer,.
Hadi wengine wana Iphone, blue tooth earphones. Na mguuni nike adidas na jeans za vunja bei.
Wanakula hadi kande na biriani.
Hayaa sasaaaMzuka wanajamvi!

Hahaha ebana umezidi kuniandamaHayaa sasaaa
Simama juu ya meza
Hapo sitting room
Jipige pige kifua Mara tatu
Sema mimi ni kengeee
Unaona sasa yaleyale niliyoyasema si unaona muhadzabe mwengine hapa anatumia internet yuko jamvin.hapo umejikuta great thinker umeshusha nondo. hao wa hadzabe wako wangapi kujaza ghala la chakula?
komaa na hali yako na wa hadzabe waache na maisha yao.
wewe na kabila lako mmeshajaza maghala mangapi?