Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mashindano ya Olimpiki yanaendelea huko Paris huku watalii wetu wakiwa hawajui kilichowapeleka huko kwenye mashindano hayo.
Kikosi cha Tanzania ni kikosi duni kuliko vyote kwani ni vigumu kumtambua nani kiongozi na nani mchezaji, wote wanafanana.
Serikali iwatoe aibu kwa kuwachongea medali kisha iwapelekee angalau nao wazivae wafanane na wanamichezo wa Olimpiki.