Hata Rwanda hapoWasage udaga wapeleke Uganda mbona soko lipo la kutosha.
Shida sidhani kama ni soko, ila gharama za usafirishaji, namna ya kupata masoko hivyo vyote vinahitaji muda na pesa, jambo ambalo wakulima wengi hawawezi fanya.Wasage udaga wapeleke uganda mbona soko lipo la kutosha.