USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
UJUMBE MZITO KWA WANABIHARAMULO KUHUSU MTU ANIYEJIITA LIMBILE MARTIN AU KIZINGU NI MTU HATARI TAPELI WA KISIASA ANAJIITA MSAIDIZI WA MBUNGE WA MPWA AMBAYE NI WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA .
Kizungu unajiita msaidizi wa waziri lakini kimsingi waziri anao watumishi walioajiliwa na serkali kama makatibu wake sio mtu baki tena mwenye elimu ya darasa la saba na anayetumia majina bandia .
Kizungu au Limbile alitaka kumhadaa mbunge wa biharamulo amlipe ili kuwa yeye anaishi nyakahura atangaze miradi ya jimbo mitandaoni kabla ya kushtukiwa na kuanza kutumia majina bandia ya Limbeli Martin .
Anajiita mtumishi wa ikulu idara ya usalama wa taifa ,ni muongo anaishi kwa kuhadaa wanasiasa na sasa anaukaribu na Dk Gresimus Ssebuyoya akisema atamhakikishia anakuwa mbunge wa biharamulo katika uchaguzi ujao .
Anapiga picha akiwa na magari ya serkali na chama cha mapinduzi ili kuhadaa wanasiasa ni mtu hatari sana kwa usalama wa nchi hapaswi kuachiwa afanye anayo fanya.
Wanabiharamulo wanapaswa kuwa makini na mti huyu ambaye haishi biharamulo na kuwahadaa atwapa uongozi