Serikali iwe makini na Ushirikina wa kijinga, Yanga na Simba

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Your browser is not able to display this video.


Mimi si mpenzi wa Yanga au Simba, su timu yoyote nchini au nje ya nchi.
Ila ilipofika jana jioni, usiku nikakutana na shabiki mmoja akilalamikia vikali kuahirishwa kwa mechi ya Yanga na Simba, iliyokuwa ifanyike jana mchana..

Nimefuatilia kiini cha tatizo.
Kimsingi tatizo ni watu wazima na akili zao kujitwwka ushirikina kichwani, huku wakijua watanzania tulio wengi ni waumini wa dini zetu iwe Ukristo au Uislamu.

Ushirikina upo, lakini kuuenzi katika shughuli za umma huo ni ushenzi na kutostaarabika.

Kwahili sakata la jana Serikali kupitia Wizara husika ikemee ushenzi huu unaoonyesha kuna watu ustaarabu kwao bado kabisa.
 
Simba na Yanga na imani za kishirikina
 

Attachments

  • Logo_simba.png
    80.4 KB · Views: 1
  • Young_Africans_SC_(logo).png
    153.1 KB · Views: 1
Bora ungesema siasa na uchawa ccm kwenye michezo
 
Ligi ya bongo ni ya kihuni na upangaji matokeo. Hasa Yanga ndo wameharibu ligi na genge lao la wanasiasa.
 
Yanga imekuwa kawaida yao kutotumia mlango rasmi wa kuingilia uwanjani kwa imani za kishirikina na kila mara wanapigwa faini ambayo wanailipa bila kujisikia kuwa wameadhibiwa na huu umekuwa utamaduni wao na TFF kwa vile inanufaika na faini hiyo ni kama wamebariki huu utamaduni, laiti kama timu inayofanya mambo yanayoashiria imani za kishirikina ingekuwa inapokwa point badala ya faini ya hela huu upuuzi usingekuwepo. Kuna upuuzi mwingi sana katika timu hizi Simba na Yanga ambao unalidhalilisha Tiafa letu.
 
Unawaza nini? Hujui kuwa serikali, Simba na Yanga ni kama pande mbili za shilingi huwezi kuzitenganisha. Mnachosha akili zenu sababu ya Mpira wa bongo.
 
Unawaza nini? Hujui kuwa serikali, Simba na Yanga ni kama pande mbili za shilingi huwezi kuzitenganisha. Mnachosha akili zenu sababu ya Mpira wa bongo.
Mimi nimechoka, eti mechi imeahirishwa kwa vile mtu smefungiwa nje asiingie kuloga. Nasi tunazibariki sababu za kijinga kama hizo.
 
Selikali haipaswi kuingilia mambo ya Mpira wa Miguu mbona Huelewi

Kushabikia simba na Yanga ni Uchizi
 
 
Sasa Serikali iwe makini kivipi wakati na wao wenyewe wanarogana kishenzi, si mwaka wa uchaguzi huu, subiri kama hamjasikia haji Manara katekwa na kiongozi wa serikali kufanywa msukule.
 
Viongozi wetu wenyewe ni wachawi, hawawezi ingilia ndani hili suala hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…