Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Najua zipo kitambo, ila zilikuwa hazitangazwi kwa fujo hiviLabda kama wewe siyo mfatiliaji, hizi scholarship zipo sna kabla hata ya vita. Me nimewahi kuapply 2019
Apply na Sasa au mwambie mdogo wako afanye applicationLabda kama wewe siyo mfatiliaji, hizi scholarship zipo sna kabla hata ya vita. Me nimewahi kuapply 2019
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.Siku za karibuni nimekuwa nikiona matangazo mengine matandaoni ya kuwavutia vijana kwenda kusoma bure Urusi.
Kabla ya vita hii inayoendelea sikuwahi kuona matangazo kama haya
Sasa ukitazama kuna vijana kadhaa kutoka Afrika waliokuwa wanasoma huko wamefia vitani halafu wote walikuwa jela
Hii inaleta wasiwasi mkubwa, bahati nzuri watu wengi wamestuka ila wapo wajinga wachache wanaoweza kuingia mtegoni, serikali iwe makini
View attachment 2500583View attachment 2500584View attachment 2500585View attachment 2500587View attachment 2500592
Wewe unasubiria nini? Fanya fasta ukajiunge ,unawasemea watu gani?Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Basi waweke wazi wanatafuta wanajeshi , sio ulaghai wa kwenda kusomaHapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Fatilia vizuri, zinatangazwa kwa fujo mbona.Najua zipo kitambo, ila zilikuwa hazitangazwi kwa fujo hivi
Nchi kibao zinatoa scholarships, Uturuki, Morocco, UK, nk lakini huoni zilitangazwa kwa fujo hivi, nakutana na matangazo mawili kila siku
Nenda unabalozini ukaombe nafasi mkuu.Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
Ngoja warusi was buza watuletee mwongozoSiku za karibuni nimekuwa nikiona matangazo mengine matandaoni ya kuwavutia vijana kwenda kusoma bure Urusi.
Kabla ya vita hii inayoendelea sikuwahi kuona matangazo kama haya
Sasa ukitazama kuna vijana kadhaa kutoka Afrika waliokuwa wanasoma huko wamefia vitani halafu wote walikuwa jela
Hii inaleta wasiwasi mkubwa, bahati nzuri watu wengi wamestuka ila wapo wajinga wachache wanaoweza kuingia mtegoni, serikali iwe makini
View attachment 2500583View attachment 2500584View attachment 2500585View attachment 2500587View attachment 2500592
Kongole mkuu. Kwa kweli ni kuchukua Tahadhari na kwa bahati nzuri Tz tunao uzoefu wa hili. Nchi ikiwa kwenye vita karibu mambo yote hudorora au kusitishwa kabisa kwani fedha nyingi hutumika vitani. ref.wakati Tz ipo vitani i.e.Tz vs Uganda(Iddi Amin) . Sasa tujiulize, hivi inakuwaje huyu mwamba yupo kwenye mapambano/vita kali halafu anatoa offer za scholarship nje-njee? Sio kwamba mwamba anajua watakaohitaji hizo "nafasi" ni vijana. Na vijana ndo wanatakiwa vitani. Watajileta wenyewe kwa hii chambo.Najua zipo kitambo, ila zilikuwa hazitangazwi kwa fujo hivi
Nchi kibao zinatoa scholarships, Uturuki, Morocco, UK, nk lakini huoni zilitangazwa kwa fujo hivi, nakutana na matangazo mawili kila siku
Nimeshaomba, sijawahi kuacha fursa. 2019 sikua tu na passport. Niliapply, sehemu ya passport ilikuwa lazima me nikaweka copy ya nida na namba. Passport imepatikana tayari deadline ilikuwa imepita.Apply na Sasa au mwambie mdogo wako afanye application
Mkuu mimi nimeshawatumia meseji whatsapp waniunge na hilo jeshi hata leo. Kufa kupo tu. Nashangaa sana mwanaume kushupaza shingo eti anaogopa kifo. Usipoenda russia/vitani ndio hutakufa? Mleta mada ni mgeni sana.Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Hivi Morocco unaenda kusoma Nini?Najua zipo kitambo, ila zilikuwa hazitangazwi kwa fujo hivi
Nchi kibao zinatoa scholarships, Uturuki, Morocco, UK, nk lakini huoni zilitangazwa kwa fujo hivi, nakutana na matangazo mawili kila siku
Sawa ukifika usisahau kutupa mrejeshoNimeshaomba, sijawahi kuacha fursa. 2019 sikua tu na passport. Niliapply, sehemu ya passport ilikuwa lazima me nikaweka copy ya nida na namba. Passport imepatikana tayari deadline ilikuwa imepita.
Kuna mwana wa mtaa yupo kule anamalizia mwaka huu masters. Sasa unaogopa kwenda russia, unawez jaribu harakati alizopitia Justine Marack wakati anaenda kutafuta madini congo?
Kwani wewe ni ke au me? Nisije nikawa nakomaa na wewe kumbe mwanamke. Kama ni mwanamke sawa, upo sahihi kuogopa lakini kama ni mwanaume unazingua sana.