daud madakama
New Member
- Sep 13, 2017
- 2
- 1
Wadau wa jamii forum habari kwa majina naitwa Daud Mbuga Madakama
Katika story of change nataka kuzungumzia mazingira
Awali yayote ningeiomba serikari kuwekeza kwenye mazingira kwa leo nitajikita katika mazingira na uhifadhi wa wanyama pori
Mimi naishi wilaya ya serengeti katika mji wa mugumu mji wetu umezungukwa na mbuga ya hifadhi ya taifa ya serengeti kwa asilimia kubwa
Changamoto kubwa kwa upande wa serengeti jamii nyingi ya watu waishio kandokando mwa hifadhi ya taifa ya serengeti wengi wanajihusisha na ujangiri na uchafuzi wa mazingira pia jamii hizi zimekuwa zikikata miti ndani ya hifadhi na kutoa nje kwa ajiri ya kuchoma mkaa pia utupaji wa taka hovyo mfano makopo ya energy na chupa za maji ambazo kutokana na hali mvua nyingi uchafu huo umekuwa ukisafirisha na maji na kuingia kwenye hifadhi zetu kupitia mito mbalimbali kiasi ambacho inapelekea kuharibu ikolojia na uhifadhi wa wanyama pori lakini pia uvamizi wa wanyama pori kwenye mashamba na makaazi ya wananchi uharibifu wa mazao na vifo vinavyo sababishwa na wanyama pori kama tembo simba mbogo na viboko pamoja najuhudi nzuri zilizo fanywa na mwekezaji grumet za kuweka fensi ya short ya umeme kandokando kwa hifadhi zimesaidia kupunguza idadi ya wanyama kuvamia makazi na mashamba isipokuwa baadhi ya vijiji vimekataa mradi huo kwa faida zao binafsi ili waweze kuchungia ndani ya hifadhi mida ya usiku pia kuna baadhi ya wananchi wamekuwa wakikata nyaya za fensi ili kuingia na kuwinda wanyama pori kwa ajiri ya mboga na kuuza nyama kavu.madhara ya mamba haya ni makubwa sana kwa miaka kadhaa ijayo.
NINI KIFANYIKE elimu itolewe kwa jamii kupitia wadau mbalimbali wa uhifadhi wa wanyama pori na mazingira
Sheria zifanyiwe marekebisho ili kuweka sheria kali za kuzuia uwindaji na uchafuzi wa mazingira
Pia jamii zinazo zunguka hifadhi za taifa kwa ujumla zinufaike na uhifadhi na utalii ili jamii zianze kupata manufaa ya moja kwa moja kutoka kwenye utalii
Ajira mbalimbali na vyuo vya utalii vijengwe kwenye kila kanda na wilaya ili vijana wasome na wapate ajira ili wakatoe elimu kwa jamii walizotoka juu ya madhara yatokanayo na uwindaji ni pamoja na kupoteza faida wanazozipata kutokakana na uwepo wa wanyama
Miradi mbali mbali ianzishwe kwenye jamii zinazozunguka hifadh kama skimu za umwagiliaji na miradi ya ufugaji wenye manufaa badala ya kuwa na ngombe mia wenye faida kidogo bora kufuga ngombe wachache wenye faida kubwa wananchi wa mkoa wa mara wanatakiwa waishi na wanyama pori kama wananchi wangororo na arusha
NIIOMBE SERIKALI kuwekez kwa wataalamu wa mazingira na uhifadhi na mazingira sheria kali zitungwe asilimia kadhaa ya faida ya utalii irudi kwa jamii zinazozunguka hifadhi mpango bora wa bucha za wanyama pori au uvunaji wa wanyama pori ili kuweza kuweka mazingira rafiki kati ya wanyama na uhifadhi pia kukomesha utupaji wa taka hovyo kama itawezekana uwekaji wa mageti makubwa kwenye mito inayoingiza maji hifadhini ili kuchuja baadhi ya takaka kubwa zisiingie hifadhini
Ahsante
Naomba kuwasilisha.

Upvote
2