Sasa kumbe jawabu wanalo, wanalalamika nini?Kuna commentView attachment 1293529 imeniacha mdomo wazi naona kama network search
Madai yake ni kulala saa 24, halafu anakuja anasema anahama toka mahoteli makubwa kwenda kulala short time
😅
Hi Ni wake up call.Mbuyu huanza Kama mchicha.Wateja wanaoumia kwa hili wakiwemo mawakili na wapigania Hali za binadamu washaliona hili kazi Mimi kwa sehemu yangu nimemaliza.Wengine wa take over nilipoishia.Ni Kama mbio.za kupokezana vijiti .Kijiti hicho.nakabidhi wengine wakimbie nacho .Tutapata ufumbuzi huu wizi hauko dunia nzima ni baadhi.ya nchi.ikiwemo TanzaniaTuseme huu ni wizi.
Sasa, mnafanya nini kuondoa "wizi" huu zaidi ya kulalamika JF?
Uzuri kipindi hiki Cha Magufuli hoteli nyingi zinaisoma namba panoja na kukomaa na wizi wao Cha Moto wanakiona.Wanakufa navtaibshingoni hawataki kulegeza kupunguza Bei na kutomdhulumu.mteja masaa yakeMasikini hebu nendeni guest house za keko magurumbasi , haya mahotel waachieni wenye uwezo
Tatizo lako ni ujinga, maradhi na umasikini vinaweza kuwa associates tu.
Soma tena uelewe nilichoandika pimbi wewe
Hizo hoteli zako za unazoita za maana Tanzania mfano umeingia check in Leo saa kumi usiku check out time itakuwa saa ngapi?
Ukiingia saa 8 usiku?Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Hao wezi Wenye mahoteli watakutoa SAA nne asubuhiUkiingia sa 11 alfajjiri je unatoka saa ngapi nisaidienijibu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wezi Wenye mahoteli watakutoa SAA nne asubuhi
bro naona unashindwa kutofautisha siku na saa..siku 1 ina masaa 24..ww unazungumzia mda ambao siku inaisha..vitu 2 tofautiDaaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Sasa wewe ndio mpumbavu. Mtu akiingia saa nane usiku tarehe 15/12/2019, siku yake itaisha saa ngap?? Still atatakiwa akae hadi saa sita usiku, hadi itakapo ingia siku mpya, saa sita na dk moja ndio 16/12/2019.Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Mbona una jazba sana,una ka gesti unamiliki nn?Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Pelekeni kesi mahakamani, acheni kulialia.Hi Ni wake up call.Mbuyu huanza Kama mchicha.Wateja wanaoumia kwa hili wakiwemo mawakili na wapigania Hali za binadamu washaliona hili kazi Mimi kwa sehemu yangu nimemaliza.Wengine wa take over nilipoishia.Ni Kama mbio.za kupokezana vijiti .Kijiti hicho.nakabidhi wengine wakimbie nacho .Tutapata ufumbuzi huu wizi hauko dunia nzima ni baadhi.ya nchi.ikiwemo Tanzania
Mahoteli gani hayo yasiyo majina? Hata wewe unayajua au unashikia bango mahoteli yasiyo majina?Sio tunalo tunatafuta alternative ambayo yaweza ua mahoteli majizi yasipobadilika
Huyo aliyepeleka kesi ya makampuni ya Simu tunamwomba abebe na hii kesi ya Wenye mahoteli sababu anaonekana ndie wakili pekee Tanzania ambaye aweza simamia maslahi ya wananchi walio wengi.Masakili wengine kazi yao kuzurura tu mabarabarani na makoyi yap na mihuri wakitafuta watu wa kuwagongeaPelekeni kesi mahakamani, acheni kulialia.
Kuna mtu kapeleka kesi mahakamani dhidi ya Vodacom, kabla kesi haijaisha Vodacom washaanza kubadilisha mambo.
Acheni kulialia mitandaoni, pelekeni madai yenu mahakamani.
Bado mnalazimishwa kulipishwa kodi za nyumba za miezi sita upfront?
Wewe umefanya nini?Huyo aliyepeleka kesi ya makampuni ya Simu tunamwomba abebe na hii kesi ya Wenye mahoteli sababu anaonekana ndie wakili pekee Tanzania ambaye aweza simamia maslahi ya wananchi walio wengi.Masakili wengine kazi yao kuzurura tu mabarabarani na makoyi yap na mihuri wakitafuta watu wa kuwagongea
Hahaaa. Sawa keyboard warrior.Nimeketa taarifa ya wizi wa mahoteli
jamii forums Kuna fani nyingi wengine wa take over.Nimefanya sehemu yangu
Hoteli zote Tanzania ziko hivyo.Unataka utajiwe noja moja?Hahaaa. Sawa keyboard warrior.
Hii taarifa yako ambayo hata majina ya hoteli haina, it is as useless as it is pretentious.
Sent using Jamii Forums mobile app