Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kufuatia Mafuriko ya Rufiji , kutokana na uzembe wa serikali na kukurupuka baada ya Envirment impact Assessment kuonyesha lile bwawa likijengwa litakuwa na uharibifu wa eco system na jamii sasa mafuroko makubwa yaja.
Majumba yamefunikwa, mashamba yamefunikwa na sasa huenda shule hizo zikasombwa.
Kwakuwa serikali imehamia Dodoma kutoka Dar es salaam na kwakuwa kuna majengo mengi yaliyokuwa ya Wizara na yamebaki yakioza mfano Wizara ya sheria na katiba hapa mbele ya Bustani ya NBC, Embassy Hotel bp Hotel zote zinaoza, zikarabatiwe wanafunzi wote wahamishiwe humo na mabweni yawe humo humo na wafundishwe na walimu wale wale na wengine kutoka Dar, usajili ubaki wa mkoa wa pwani lakini shule ziwe Dar.
Embassy Hotel imefungwa mwaka 1993 mpaka leo 2024 ipo tu inajiozea. Mzee Mengi aliomba akodishiwe akanyimwa na Waziri mmoja mnamjua, akaomba Kempisky akanyimwa na Waziri huyo huyo.