Serikali izingatie hili

Serikali izingatie hili

Angyelile99

Member
Joined
Oct 9, 2023
Posts
89
Reaction score
164
Moja: Hesabu nyepesi, bunge la Jamuhuri ya Muungano lina idadi ya Wabunge wasio pungua 360.

Kama kila Mbunge akapunguziwa msahara na posho kwa kiasi cha jumla ya sh 1500000, nanaake huyu ataweza kuajiri waalimu watatu wa ngazi ya msahara wa laki 5 hi to kwenye wabunge 360 tutapata waalimu 1080.

Hii nchi ina wakuu wa mikoa takribani 34 ambapo kila mmoja akikatwa sh 1 mil anawastani wa kuajili walimu wawili hivo tunaweza kupata waalimu 64.

Wakati huo huo kuna wakuu wa wilaya pamoja na wakutugenzi wasio pungua 500 no lila mmoja akakatwa sh laki 5 hivo kunajumla ya waalimu 500 wanao weza kuajiliwa.

Hizi ni hesabu rahisi sana ambazo kama tukipata kiongozi makin basi hili jambo linawezekana, himeainisha tu kwa kada hizi chache bado na kada nyinginezo ambazo muhusika anahakikishiwa gharama za maradhi, usafili, na makazi ma mashahara wa 4+ mil.
 
Back
Top Bottom