Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Ninakwazika sana na unafiki wa serikali na asasi za kutetea haki za watoto.Mmekuwa mnapiga vita ndoa za utotoni na kupigania haki ya kupata elimu.
Mbona wamasai,wasukuma bado wanatabia mbaya ya kuweka oda binti angali mdogo na akibalehe tu wanaoa mpo kimya,huyu binti anakosa haki ya elimu, haki ya kuamuwa na mbaya zaidi anaolewa na libaba umri wa baba yake serikali mpo wapi?😭😭😭🤦