Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Inauma sana mabinti wanakosa haki ya kusoma. Nadhani elimu ya ufahamu na malezi ianze kutolewa kwa wazazi hao kujuwa athari za mambo haya atakayekaidi basi muowaji na waozeshaji kesi halafu ndani.Jina lako linasadiki Uchungu wa kuwekwa Bond kuisubiri Njemba iliyokuoa.
Ninakwazika sana na unafiki wa serikali na asasi za kutetea haki za watoto.Mmekuwa mnapiga vita ndoa za utotoni na kupigania haki ya kupata elimu.Mbona wamasai...
Mambo haya yapo sana umefika mahala waoaji na waozeshaji wakaona fahari.Serikali iwe siriazi.kwanini hujatoa taarifa na umeona hilo jambo mkuu
😭😭😭Binti anavunja ungo # balehe
Aibu jamaniMasai wanaoa bint wa miaka 16 ,17 ,18 nilishangaa sana au kule Arusha vijijin ni Kenya?
Wapo wazi hadaharani.Yote haya yamesababishwa na serikali ya ccm kutokupeleka shule huko usukumani.wangekuwa wamewekeza elimu vya kutosha huo uhuni ungekuwa haupo kabisa.Lakini hata wewe mleta mada unatakiwa uchukue hatua Kwa kutoka taarifa Kwa wahusika au hata kuandika tu hapa jf Kwa taarifa sahihi zinazojitosheleza wahusika wataona.
Ni aibu kweli🤦Tutalifanyia kazi