At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Pata huduma za serikali zaidi ya 130 kama vile Kupata cheti cha kuzaliwa, kupata namba ya nida, kutuma maombi ya mkopo wa elimnu ya juu, kutuma maombi ya chuo TCU, kutengeneza tin number, kuhakiki bima ya chombo chako cha moto, kutazama traffic fine, kutengeneza loss report pamoja na huduma nyingine nyingi!
Pakua sasa app ya Serikali Kiganjani uweze kufurahia huduma hizi bure:
Serikali Kiganjani - Apps on Google Play
Zifuatazo ni baadhi tu ya huduma unazoweza kupata kupitia app ya Serikali Kiganjani:
=> Cheti cha kuzaliwa au kufa
=> Kuomba kazi serikalini
=> Kupata namba yako ya kitambulisho kupitia mtandao
=> Kuomba Visa, Passport au Resident Permit
=> Salary Slip Self Service
=> Sajili jina la Biashara, Kampuni, Kubadilisha Taarifa au Malipo BRELA
=> Kuomba bili ya maji kupitia mtandao
=> Kuomba kuunganishwiwa maji kupitia mtandao
=> Nacte registration for Private Candidate
=> Kulipoti mali iliopotea(Loss Report)
=> Kutazama traffic fine
=> Kutazama matokeo yote kuanzia darasa la nne, mpaka kidato cha sita pamoja na ualimu
=> Kureport gari/pikipiki/bajaj ilioibiwa
=> Pata bili yako ya umeme kupitia mtandao
=> Kutazama simu yako kama ni orijino kupitia imei namba
=> Uthibitishaji wa Bima ya Magari
=> TRA Used Motor Vehicle Valuation System
=> Online TIN registration
=> Kata tiketi ya treni kupitia mtandao
Kuwa mzalendo, sambaza ujumbe huu kwa watanzania wote!