Shida ya Tanzania ni porojo.
January atakwama kwa kutaka kutumia JK style kwenye utendaji wa kazi, aina ya ufanyaji kazi huu ni kwa nchi iliyoendelea tayari na watu wake wanajielewa kulingana na misingi iliyowekwa. Sisi wengi ni punda tunaohitaji mijeredi.
Mafuta ni bidhaa muhimu na ni index muhimu kwenye uchumi wa nchi, inahitaji userious kudeal nayo na akili smart. Solution pekee itakayotuokoa ni kujenga haraka refinery plant na kuwa Tanzania oil tankers, na huko kwa hao wenye visima tunafuata crude oil tu. Hii itatusaidia kwetu na mengine kuuza, lakini tutakuwa na utayari wa kuanza kununua crude oil ya M7 kwa either kuweka pipeline kutokea Tanga au kujenga refinery palepale Tanga.
Kwa wakati huu tunaweza kuanza kuondoa vitozo vyote kwenye mafuta ili bei zishuke mtaani, kifupi mafuta iwe tozo free bidhaa ili kumsaidia mraji. Kuna vitozo kwenye mafuta na umeme ni kuziwekea mazingira PUMBAVU zituibie tu kwa kukaa vikao feki na kulipana viposho vya tu.