#COVID19 Serikali kuanza kampeni ya kuhamasisha watumishi katika taasisi zake kupata chanjo

#COVID19 Serikali kuanza kampeni ya kuhamasisha watumishi katika taasisi zake kupata chanjo

It was a matter of time, kama mnapokea misaada yao kwanini msifuate masharti yao?

Hayo makundi mengine nao wajiandae, lazima wanatafutiwa utaratibu wao wakuchanjwa, kama ilivyo sasa huwezi ingia hospitali bila barakoa, muda sio mrefu itakuwa huwezi kuingia hospitali na taasisi nyingine za umma bila kuonesha cheti cha chanjo ya Corona.
 
Kama hii ni kweli basi nimeamini moja ya faida kubwa ya chanjo ni kumsaidia muhusika kuwa na uthubutu na ujasiri wa kutisha.
 
Kuchanja Ni Hiyari
Elimu Itolewe Kwanza
 
Serikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe



Waziri Olenasha ndiyo hivyo tena. Apumzike kwa amani.

Wanaonyanyapaa chanjo ni kwa umburula wao tu.

Lengo ni kuchanjwa 40% kwa nchi hadi Dec 2021. 70% kuchanjwa kwa nchi hadi Dec 2022.

Hiyo itapelekea kuidhibiti Corona duniani.

Habari ndiyo hiyo.
 
Serikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe


Kwa mbaaali naanza kuona Ufunuo waYohana ukitimia. Ile chapa 666 ambayo kila mmoja lazima awe nayo vinginevvyo hakuna kununua wala kuuza ndiyo hii. Tunaanza na kukosa huduma za jamii kama hujachanjwa, hatimaye hakuna kuingia sokoni kuuza wala kununua chochote bila kuwa nayo.
Wallah kazi tunayo!!
 
Imesemwa wapi,na kiongozi gani wa serikali?
 
Back
Top Bottom