britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
ExactlyHayo ndio masharti ya ule mkopo wa juzi.
Mkopo Unatula Bado Riba YakeExactly
Amesema ''kuhamasisha'' na siyo ''kulazimisha''. Inaweza kuja kuwa ni lazima siku zijazo, lakini hapa umepotoshaSerikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
Unachanja mbuga tena? Wallah nimecheka.Sikupenda kucheka kwa wiki hii.ππππWameambiwa watahamasishwa wachanjwe, inamaa ukihamasika unachanja chanjo, usipo hamasika unachanja mbugaπββοΈπββοΈπββοΈ
Serikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
Mnaokataa chanjo mngeitaka serikali iache chanjo zote za mama na mtoto.Serikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
Na wewe uliamini waliposema kuchanja hiari?Kuchanja Ni Hiyari
Elimu Itolewe Kwanza
Kwa mbaaali naanza kuona Ufunuo waYohana ukitimia. Ile chapa 666 ambayo kila mmoja lazima awe nayo vinginevvyo hakuna kununua wala kuuza ndiyo hii. Tunaanza na kukosa huduma za jamii kama hujachanjwa, hatimaye hakuna kuingia sokoni kuuza wala kununua chochote bila kuwa nayo.Serikali imesema kwamba kuchanja ni lazima Kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe