Serikali kuanza kuwatambua wateja wa ATCL kwa lengo la kuwapatia huduma za ziada

Naona umenuna
 
Shikamoo

akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa

Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Hongera kwa kuliona hilo kutoka kwa huyo mpenda kukosoa
 
ni kawaida kwa wateja wazoefu kupata discount hata kwenye maduka makubwa lipo hilo
 
.....wate wote ni wake ila hawapandi !?
Inakuwaje sasa ? Kupanga uongo kazi nayo !
 
Naunga mkono hoja naiona kabisa ATCL ikiwa monopoly company kuanzia sasa wakiongeza ndege na kufanyia kazi malalamiko ya wateja.
 
Hee,,,, bibi kumbe nae anakoseaga!!

Anavyo wakosoaga wenzie nikadhani na yeye amekamilika
mkamilifu ni alla tu,,,yechu yechu
Shikamoo

akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa

Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
 
Shikamoo

akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa

Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Umesahau na hili
kupeqa= Kupewa
 
Ahsante, nimerekebisha.

Simu ya Kichina hii bado inajifunza Kiswahili na Kiingereza.
Wenzako walivyokuwa wanazitumia simu hizo na kukosea kama ulivyofanya, bado unawaambia " shule mnaenda kusomea ujinga"? Je. Uko tayari kuwaomba radhi kwa kauli yako hiyo ya kiuonevu?!
 

Bila ya shaka wanataka kuanzisha 'reward program'. Kwamba, kila unaposafiri unapata (earn) pointi za kiasi fulani na ukifisha kiasi fulani unaweza kupata kwa mfano:
- Free ticket
- Hotel
- Meal
n.k

Na kwa mfano ukifikisha kiasi fulani cha juu kweli kweli basi wanaweza kukupa tiketi au vacation package (siku saba kula na kulala kwenye hoteli fulani ya kitalii).

So ni jambo zuri
 

Usihangaike sana unapewa ''air miles'' Ukifikisha kiwango flani, unapata ticket au unapewa ticket kwa discount price - asilimia hupangwa na shirika husika mfano 40% au 80% pungufu nk.


Ops ''huko shule mnaendaga kusomea nini?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…