Serikali kuanzishwa Wakala wa Uvuvi Tanzania kwa mwaka 2020

Serikali kuanzishwa Wakala wa Uvuvi Tanzania kwa mwaka 2020

Bookman Oldstyle

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
147
Reaction score
47
Makujumu makubwa ni:

1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali

2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi

3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo

4. Kuandaa takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya soko

5. Kuajiri wataalamu au wazoefu wa sekta ya samaki kwa kuzingatia organisation structure ya Wakala.

6. Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Waziri utakapohitajika ili kuendana na soko la wasomi, wazoefu

7. Kuandaa na kusimamia viwanda vya kusindika samaki na kupaki kwa ajili ya kuingia kwenye masoko

8. Kusimamia uvuaji na usindikaji wa samaki kwa vifaa maalamu kama meli katika ukanda wa bahari ya Hindi, na maziwa nchini

Serikali ya awamu ya tano ni samaki kwa kwenda mbele.
 
Yani umejiunga JamiiForums juzi 03/11/2019 mpaka leo 05/11/2019 una post 88 na zote za kuunga juhudi ufisadi wa awamu hii ya 5. We utakua umetumwa.
 
Makujuku makubwa ni:

1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila wilaya na kuwa na species mbalimbali

2. Kusimamia uzalishaji wa samaki Kwa kuzingatia Taratibu za kisayansi

3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji ya yaliyipo

4. Kuandaa Takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya soko

5. Kuajili wataalamu au wazoefu wa sekta ya samaki Kwa kuzingatia organisation structure ya wakala

6. Kutoa ushauri wa kitaalamu Kwa waziri utakapohitajika ili kuendana na soko la wasomi, wazoefu

7. Kuandaa na kusimamia VIWANDA vya kusindika samaki na kupaki Kwa ajili KUINGIA KWENYE masoko

8. Kusimamia uvuaji na usindikaji wa samaki Kwa vifaa maalamu kama meli katika ukanda wa bahati ya Hindi, na maziwa nchini

#tag Serikali ya awamu ya TANO ni samaki Kwa kwenda mbele
Wazo zuri,napenda sana kula Samaki...
 
Ni Bora nchi iliyopata maendeleo fedha haina samani Kwa sababu fedha huishi kwenye mzunguko tunatekeleza

 
Watoto watukutu mnaoshindwa kuwa na society skills tujifunze kwenye movie hii siyo kazI kutengeneza KAZI

 
Back
Top Bottom