Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu USD .468 Mil (takribani TZS. 1.2 Trilioni), ambapo kati ya fedha hizo USD.364 Mil zitatoka Korea Kusini na Serikali ya Tanzania itachangia USD. 104 Mil.
Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dkt. Rachel Mhaville kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH wakati akitoa taarifa kwa umma juu ya mafanikio ya kipindi cha miaka minne chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kwa sasa upembuzi yakinifu wa mradi huo umekamilika hivyo hatua mbalimbali za kusaini mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Korea zinaendelea vizuri.
Hospitali ya Taifa Muhimbili yenye kampasi mbili ni Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa na kubwa kuliko zote nchini ina vitanda 2,043 ambapo Upanga kuna vitanda 1,435 na Mloganzila vipo 608.Katika kampasi zote mbili wagonjwa 4,000 wanaonwa kwa siku.
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu USD .468 Mil (takribani TZS. 1.2 Trilioni), ambapo kati ya fedha hizo USD.364 Mil zitatoka Korea Kusini na Serikali ya Tanzania itachangia USD. 104 Mil.
Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dkt. Rachel Mhaville kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH wakati akitoa taarifa kwa umma juu ya mafanikio ya kipindi cha miaka minne chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kwa sasa upembuzi yakinifu wa mradi huo umekamilika hivyo hatua mbalimbali za kusaini mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Korea zinaendelea vizuri.
Hospitali ya Taifa Muhimbili yenye kampasi mbili ni Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa na kubwa kuliko zote nchini ina vitanda 2,043 ambapo Upanga kuna vitanda 1,435 na Mloganzila vipo 608.Katika kampasi zote mbili wagonjwa 4,000 wanaonwa kwa siku.View attachment 3261100

Kwa muhimbili ilivyojengwa kama slums ni bora ijengwe upya kubadilisha mandhari ya mjini hapo, ila ingeleta tija sana kama wangeongeza brand new hosp nje ya mji kupunguza congestion maana hayo mafoleni yataongezeka balaa!
Badala ya kujenga hospitali moja kubwa sehemu moja ni afadhari wakajenga mbili sehemu tofauti. Moja iwe Dodoma na nyingine Dar zenye thamani ya pesa hiyo.
Kwa nini hiyo pesa isitumike kuboresha huduma na maslahi ya wahudumu wa afya? Kuikarabati hospital kwa trillion 1.2 ni sawa na kukarabati gari bovu T253 AAA huku ukiendelea kutumia oil chafu kwenye gari hiyo hiyo baada ya ukarabati. Bata wahed!