naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana piaHata Mimi huwa inanishangaza Sana,ni kwann Mwalimu huyu mwenye mshahara kiduchu Tena bila posho lakini ana mabosi wengiiii na anazidi kuwekewa wengine??😲😲,kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa Sana kuhakikisha mwalimu ana maisha magumu?!
Ushauri-serikali imarisheni maslahi ya mwalimu,punguzeni idadi ya MABOSI wa mwalimu,
Hata Mimi huwa inanishangaza Sana,ni kwann Mwalimu huyu mwenye mshahara kiduchu Tena bila posho lakini ana mabosi wengiiii na anazidi kuwekewa wengine??😲😲,kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa Sana kuhakikisha mwalimu ana maisha magumu?!
Ushauri-serikali imarisheni maslahi ya mwalimu,punguzeni idadi ya MABOSI wa mwalimu,
naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana piaMheshimiwa mmoja alisema ujinga, unyonge, woga nk ndivyo vimetufikisha huku:
Kada nyingine wamewekewa masharti lukuki yakiwamo malipo ya kuhuisha leseni zao ili kuendelea na kazi.
Kada nyingi tu wakiwamo wanasheria, madereva, nk.
Wengine kuna hata age limits zinawahusu. Kwamba ukifika umri fulani hata kama ungetaka kujiajiri mwenyewe uko outlawed.
Hiiiiii bagosha!