milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, amewatoa hofu Watanzania kuhusu ujenzi wa barabara za kulipia. Anasisitiza kuwa barabara hizi zitaambatana na barabara mbadala zisizo za kulipia, kutoa uhuru kwa mtumiaji kuchagua kwa mujibu wa mahitaji yake.
Soma Pia:
1. Barabara hizo tutalipia kwa miaka mingapi?
2. Tutalipia Tsh ngapi na kwa mfumo gani?
3. Je, ni watanganyika wangapi watakaoingia kwenye PPP ya ujenzi wa hizo barabara?
4. PPP italipa kodi ya serikali kiasi gani kutokana na road toll ya kila gari?
5. Walemavu na maskini watakao tumia barabara hizo watasaidiwaje?
6. Mradi huo hadi kukamilika utachukua kiasi gani kwa fedha za Kitanzania?
Soma Pia:
- David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP
- David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni