Tunajua taarifa za nida zinatumika sehemu nyingi ikiwepo na kwenye vitambulisho vya kupiga kura, ukiwa na namba ya nida ya mtu ina maana una taarifa zake zote za kutosha kuandaa kitambulisho kingine.
Kwanini hakuna utaratibu mwingine wa kuhakikisha kuwa sehemu fulani imefikiwa mpaka wachukue namba ya NIDA? Kwanini wasitumie wajumbe mtaani wanaojua watu wote kwenye mitaa yao kufanikisha zoezi hilo?
Zoezi hili kuendeshwa wakati huu tena makundi mbalimbali ya CCM kuhusika ni rushwa ya wazi wazi kipindi cha uchaguzi.
Huu ni ubabaishaji unaanza kutengenezwa mapemba kabisa na kuja kutuletea takwimu ambazo hazina uhalisia.
======
Your browser is not able to display this video.
Akijibu swali aliloulizwa kuhusu utaratibu wa kugawa mitungu ya gesi leo Februari 10, 2025, Naibu Waziri Wizara ya Nishati Ndg. Judith Kapinga amesema;
"Kwa utaratibu wa sasa hivi kila mtungi mmoja unaenda kwa kwa mtu mmoja na inachukuliwa vile vile kwa namba ya nida yote ni kuhakikisha tunaweza kufikisha mitungi kwa wananchi wengi zaidi.... na kwenye kila mkoa kuna mawakala.."
Tunajua taarifa za nida zinatumika sehemu nyingi ikiwepo na kwenye vitambulisho vya kupiga kura, ukiwa na namba ya nida ya mtu ina maana una taarifa zake zote za kutosha kuandaa kitambulisho kingine.
Kwanini hakuna utaratibu mwingine wa kuhakikisha kuwa sehemu fulani imefikiwa mpaka wachukue namba ya NIDA? Kwanini wasitumie wajumbe mtaani wanaojua watu wote kwenye mitaa yao kufanikisha zoezi hilo?
Akijibu swali aliloulizwa kuhusu utaratibu wa kugawa mitungu ya gesi leo Februari 10, 2025, Naibu Waziri Wizara ya Nishati Ndg. Judith Kapinga amesema;
"Kwa utaratibu wa sasa hivi kila mtungi mmoja unaenda kwa kwa mtu mmoja na inachukuliwa vile vile kwa namba ya nida yote ni kuhakikisha tunaweza kufikisha mitungi kwa wananchi wengi zaidi.... na kwenye kila mkoa kuna mawakala.."
Havihusiani kivipi? π π ukipata namba ya nida ni geti la kupata taarifa zako zoteee, ikiwemo picha yako, majina yako yote matatu, tarehe ya kuzaliwa na mengine mengine mengi.... ya kutosha kabisa kutengeneza kitambulisho cha kupiga kura
Namba za nida wakizitaka kwa matumizi yao ni simu moja file linatumwa moja kwa moja kutoka nida, itakua huko wanataka idada ila sio kuitafuta nida kwa kuteseka hivyo
Sijui, lakini hii ya serikali tumeambiwa hapo elfu 70+ kati ya laki 4+ imeshatolewa kwa wananchi... sasa sijui unajaribu kupinga nini Mkuu?πππ
Namba za nida wakizitaka kwa matumizi yao ni simu moja file linatumwa moja kwa moja kutoka nida, itakua huko wanataka idada ila sio kuitafuta nida kwa kuteseka hivyo
Wakafanya hivi ikakugundulika panati yake itakuwa kubwa kwa kampuni za simu za hata serikali, itaathiri hadi kimataifa, hivyo inabidi wapitie mlango wa nyuma kimkakati... inakuwa hawahusiki lakini wanahusika
Havihusiani kivipi? π π ukipata namba ya nida ni geti la kupata taarifa zako zoteee, ikiwemo picha yako, majina yako yote matatu, tarehe ya kuzaliwa na mengine mengine mengi.... ya kutosha kabisa kutengeneza kitambulisho cha kupiga kura
huo ni upotishaji wa kiwango cha chini sana my lady,
picha ya kitambilisho cha NIDA na kile cha NEC ni tofauti mno my lady, na na vitambulisho hivyo vina security features tofauti kabisa,
hata hivyo,
ni below 10% ya wapiga kura ndio wanaboresha taarifa zao kuhusu uchaguzi mkuu 2025, na below 20% ni wapiga kura wapya waliotimiza miaka18 majuzi,
hivyo bas, waliobaki wengine,
hakuna taarifa zozote za mpiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura zitakazobadilishwa,
na kwahiyo upotishaji wako bado una sifa zote za kupuuzwa.
Wanaopewa mitungi ya gas lazima wajulikane kwa majina na mahali walipo ili kua na record ya uhakika zoezi hili linaufanisi kiasi gani π

Acha kutupiga banaaa, unaongea kama bado stone age bana, uko na picha na details zote nini kinazuia kupata kopi ya kitambulisho kingine? It doesnt matter wangapi wanaboresha so long au kuna taarifa za kutengenza kitambulisho kingine.... tofauti na kwenye kura taarifa hizo zinaweza kutumika vizuri tu kwenye kufanya uhalifu mzigo akaangushiwa mwingine, matumizi ni endless

copy ya nini na una kitambulisho halisi ndugu mpotoshaji mshupaza shingo?
there is no room or escape root for criminals in this very beautiful republic. Labda mkajipange DRC na upotoshaji wenu.
waTanzania wanufaika wa mitungi ya gas wataendelea kutoa na kuchukuliwa taarifa zao muhimu ili hatimae kama Taifa tupate takwimu sahihi na idadi kamili ya waTanzania waliopata gas na ambao bado hawajapata ili kuepuka kujirudia kwa wanufaika wadanganyifu wasio waaminifu, hali ya kua zoezi bado halijakamilika kote nchini kwa waTanzania wengine.