JUMATATUONE
Member
- Oct 27, 2013
- 14
- 0
napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je? tupo wengine ambao hatujafundishwa Ila NI wabunifu WA mambo makubwa yanayohitaji ubia na viwanda nje ya nchi ili bidhaa iweze kuzalishwa na kuingia sokoni. tunasaidikaje? kuwapata wenye viwanda, ili kuwekeza KWA tija? (inanihusu mojaxmoja)