Serikali, kuhusu kuwasaidia vijana kiajira je mmefanikiwa kwa kiasi gani?

JUMATATUONE

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
14
Reaction score
0
napenda kujua kutoka KWA serikali na pia wenzangu humu ndani, nakubali kuwa ilianzishwa programme ya kufundisha vijana Ujasiriamali na kutakiwa kuunda vikundi ili tukopesheke. swali langu NI je? tupo wengine ambao hatujafundishwa Ila NI wabunifu WA mambo makubwa yanayohitaji ubia na viwanda nje ya nchi ili bidhaa iweze kuzalishwa na kuingia sokoni. tunasaidikaje? kuwapata wenye viwanda, ili kuwekeza KWA tija? (inanihusu mojaxmoja)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…