Pale ni volcano si kingine.Salaam wakuu,naomba mlioko Kilimanjaro mtupe taarifa ya uhakika,nini chanzo cha moto unaowaka hapo mlimani!?
Je, harakati za uzimaji zimefikia wapi? Nasikia bado unawaka na ni mkubwa. Je, ni kweli?
Hii mbinu nilishuhudia kijijin wangechelewa nyumba zingeungua, walidai moto unaspeed nguvu ya kuudhibiti ni ndogo ikabidi wawashe mdogo wake vikakutana hali ikatengamaaKwanini wasitumie mbinu ya kuwasha moto mwengine kwa mbele Kisha wanauzima ili ule unaowaka ukifika ukose pa kuendeleza kuwaka..
Asante sana mkuu, bila shaka utakuwa umekulia kijijini kama mimi....kila siku huwa najiuliza kwanini watu hawakumbuki mbinu hii?Kwanini wasitumie mbinu ya kuwasha moto mwengine kwa mbele Kisha wanauzima ili ule unaowaka ukifika ukose pa kuendeleza kuwaka..
Kwa hali ya kawaida unapaswa kuwa na mipango ya kukabiliana na janga ambalo linaweza kujitokeza. Tatizo letu tunangoja hadi hapo janga linapotokea ndio tunaanza kupanga mipango ya kulitatua. Hapakuwepo na ndege za kuzima moto, sasa tunahangaika kuzitafuta baada ya kuona kwamba huu moto si wa kuzima kwa kutumia majani ya miti. Mtindo huu ni kwa mioto midogo tu na kamwe haufai kwenye moto huo wa milimani unaochochewa na upepo uendao kasi. Matokeo yake wazimamoto huchoka na kuamua kupumzika na hivyo kuupa nafasi moto uendelee kuwaka kwa nguvu mpya na kasi mpya. Kwa kutokuwa na mipango mizuri sasa tutavuna majivu na jangwa katika misitu yetu.HII NDO THE BEST STRATEGY KUKABILIANA NA MOTO UNAOSAMBAA,SWALI NI JE WAMEJIPANGA VIZURI KUITUMIA HII NJIA
Unajua maana ya utalii.....Mzee wa field ana muda mwingi wa kufunga kamba za viatu na kupigwa picha!
Hi njia inawezekana Kama kukiwa hakuna upepo, ila upepo ukiwepo ni sawa na kumshauri magu tu, maana haiwezekani.Kwanini wasitumie mbinu ya kuwasha moto mwengine kwa mbele Kisha wanauzima ili ule unaowaka ukifika ukose pa kuendeleza kuwaka..