ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mwishoni mwa mwezi wa tank serikali kupitia wizara ya afya ilitoa barua ambayo ilikuwa ikielekeza kuwa mwaka wa masomo 2015/2016 serikali haitahusika kutoa chakula kwa vyuo vyote vya diploma hapa nchi vile vinavyo milikiwa na serikali na kutaka wanafunzi wote wajitegemee kwa suala LA chakula kutokana na serikali kuwa na madeni makubwa kwa wazabuni....wanafunzi hao hawajambiwa kama watepewa mkopo au laa sasa umefika ule mda ambao mtoto wa maskini kusoma ni ndoto