ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
serikali haina hela huku mpango wake wa siri kuwalipa wabunge mamilioni kama kiinua mgongo ukiwa mbioni. Fedha ya kula wanasiasa ipo ila ya kula wanafunzi watoto wa wakulima na wafanyakazi hakunamwishoni mwa mwezi wa tank serikali kupitia wizara ya afya ilitoa barua ambayo ilikuwa ikielekeza kuwa mwaka wa masomo 2015/2016 serikali haitahusika kutoa chakula kwa vyuo vyote vya diploma hapa nchi vile vinavyo milikiwa na serikali na kutaka wanafunzi wote wajitegemee kwa suala la chakula kutokana na serikali kuwa na madeni makubwa kwa wazabuni....wanafunzi hao hawajambiwa kama watepewa mkopo au laa sasa umefika ule mda ambao mtoto wa maskini kusoma ni ndoto
serikali haina hela huku mpango wake wa siri kuwalipa wabunge mamilioni kama kiinua mgongo ukiwa mbioni. Fedha ya kula wanasiasa ipo ila ya kula wanafunzi watoto wa wakulima na wafanyakazi hakuna
Hahahahhah babaa kweliii ujakoseaa mwananguu lazimaa tufee kwa njaa hahahahha sema mbona kibaha wanaishi ivoivo tuu bila kupikiwaa ila frshh kwanza chakula kilikuwa kama cha shule za serikali za advance tutasoma tuu laki 4 yangu na 80 kwa mbeya nakula mwaka mzima na inabakiii

Kwa siku unatumia buku!?