Brighton11
New Member
- May 14, 2024
- 3
- 2
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji na Maji yakate Baada ya Kuisha kwa Unit alizolipia Maji na sio Wananchi watumie badae wasomewe Ripoti ya Bilizi zao hii waiboreshe.
2. Pili Sekta Ya Sayansi Na Teknolojia itumieke zaidi Mashuleni Kwa vitendo ili kusaidia Vijana Kua na Uwelewa Moana Kuhusu Mabadiriko ya Dunia Yanayotegemea zaidi Akili Bandia kukamilisha Mambo, Wanafunzi hawa wake fundishwa Vitu cya msingi hakuna Atakaejari Kuhusu Ajira Maana kila Mtu Atajiajiri au kuajiriwa moja kwa moja kwenye Sekta Binafsi au Makampuni Makubwa Nje ya Nchi.
3. SERIKALI ifungue Shule Za kufundisha Au Vyuo vya kufundisha Masuala ya Sarafu za digitali (Cryptocurrency) hii italeta Mabadiriko kwenye Nchi Miaka ijayo Maana Vijana wengi wataokoa Muda wao Kwa kujitengenezea Pesa Za Kufanya Manunuzi na uuzaji wa Sarafu za digitali.
SERIKALI iangalie sana haya mambo Nchi haitokua Na watu wanaokosa Kazi Na kuilaumu SERIKALI Kwamba inatubana

Upvote
1