SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

Tanzania Tuitakayo competition threads

Brighton11

New Member
Joined
May 14, 2024
Posts
3
Reaction score
2
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji na Maji yakate Baada ya Kuisha kwa Unit alizolipia Maji na sio Wananchi watumie badae wasomewe Ripoti ya Bilizi zao hii waiboreshe
 
Upvote 0
Back
Top Bottom