Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzaoHabari zenu wadau...
Kuna taarifa kuwa serikali ina mpango wa kulipa madeni yote ya walimu mwezi huu wa tatu.
Katika baadhi ya shule walimu wamepewa fomu za kujaza ili waweze kulipwa pesa hizo mwezi huu. Pesa hizo zinajumuisha malimbikizo ya mishahara na kupandishwa madaraja.
Kila la heri walimu maana neema inaanza sasa katika kada yenu na mtaifurahia kazi.
Hongera serikali ya rais Magufuli kwa uamuzi huo wa busara wa kuwakumbuka walimu wetu.
Hili likiwezekana ni uthibitisho wa dhamira ya dhati ya hii serikali kuwatumia wananchi.
NB: MODS msiutoe huu uzi maana bado siku chache tu itajulikana kama ni kweli au lah na ndio maana ya tetesi.
Kiongozi wa wanyonge ndo huyu aliyepo madarakani wewe unamtaka nani?Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzao
Kivipi walimu ndo maadui wa walimu?Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzao
Mkuu una maneno makali sana.Sisi Walimu Wa Tanzania ni sawa used condom,hivyo sitaishangaa serikali km itatulipa madeni yetu.
Watu tunadai tangu 2011,sijui kama watalipa.
Raisi mwinyiKiongozi wa wanyonge ndo huyu aliyepo madarakani wewe unamtaka nani?
Waliopo madarakani kwenye nafasi kubwa ni walimu na ndo wanaowakandamiza walimu wenzaoKivipi walimu ndo maadui wa walimu?
Kivipi walimu ndo maadui wa walimu?
Huyo ndo alifungua mianya ya rushwa na ufisadi pamoja na mikataba feki hafai kabisaRaisi mwinyi
Usha wahi ???!
!!
!!!
Wakilipwa mwezi huu nakunya boga hadharani.