Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Aug 27, 2010 #1 Wakati akiwa Mwanza kwenye kampeini za Chama chake Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya Serikali yake kulipia pesa za nyanza zilizoibiwa karibu sh bilioni 5. Je kwa sheria za uchaguzi hili haliwezi kuingia kwenye rushwa?
Wakati akiwa Mwanza kwenye kampeini za Chama chake Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya Serikali yake kulipia pesa za nyanza zilizoibiwa karibu sh bilioni 5. Je kwa sheria za uchaguzi hili haliwezi kuingia kwenye rushwa?