Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sikukuu ya Christmas ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo [Mungu] ambaye alizaliwa Israel katika mki wa Bethlehemu , miaka 2024 iliyopita.
Wachagga, katika kikao chao cha Mwisho wa mwaka 2024 wameomba vijana wao Bungeni akina Mkenda, Tarimo, Mollel na Ndakidemi waiombe serikali madhimisho ya Christmas yawe yanafanuika kitaifa MARANGU -Moshi na pia pombe yao ya Mbege itambuliwe kitaifa.
Jambo hili limeungwa mkono na wachagga wengi hasa waliotoka Marekani na Ulaya kuja kuhesabiwa na pia kutoa hesabu ya walichokuwa wanafanya huko.
Wanapeana fursa, ajira na kuonyana.