Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo huo umeingia na pesa hakuna
Mtu unategemea ufaulishe deni Ili upate tu-cent serikali nayo inakubania
Tusaidieni kwa Hilo watumishi wengi tunateseka
Mtu unategemea ufaulishe deni Ili upate tu-cent serikali nayo inakubania
Tusaidieni kwa Hilo watumishi wengi tunateseka