Nakuhakikishia hili ndio litakuwa zoezi jepesi kuliko yote cozTeh!, nyie mnamtania Uncle Magu atawachapa, kwani huko Serikalini kazi zimeisha mpaka sasa serikali ianze kutukagua mavazi!, but if they're going after mashoga, they can easily go after our looks. Somebody is bored, teh!
Nakuhakikishia hili ndio litakuwa zoezi jepesi kuliko yote coz
1. Wahusika ni wanawake ambao by nature ni waoga na wanyeynyekevu na wasikivu
2. Nywele bandia hazihitaji ushahid wala vielelezo coz zipo kichwani
Yaan kwenye zoezi hili hakuna upembuzi yakinifu