Serikali kupitia BoT, iruhusu watumishi wa umma wanaolipwa posho za mwezi kukopa kupitia posho zao

Wewe mbona unarukaruka sana- Answer real qns in a logical way
 
Hiyo moja ya tatu ni hoja mfu kabisa na haina uhalisia kwani mshahara huo unabaki kwenye makaratasi tu na ukitoka sio wa mtumishi bali unaenda kulipa madeni hivyo hilo lengo halifikiwi.
Hilo sio tatizo la mwajiri Ni la mwajiri .Mwajiri yeye kuhakikisha unatoka ofisini kwake na mbili ya tatu ya mshahara hayo unayoenda kufanya huko nje na hiyo mbili ya tatu hayamhusu

Mbona wako wengine akipata mshahara wote anaenda kuhonga wore hawara unataka mwajiri afanyaje? Aje kukufumania na kukuambia usihonge ? Anahonga mshahara linabaki karatasi tu mfukoni Hana kitu Hilo tatizo lake na life style za hovyo za kwake
 
Hahahha well said.
 
Binafsi nakubaliana na wewe,kazi ya serikali yeyote duniani ni kuhakikisha welfare njema ya watu wake wakiwemo watumishi,Hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha watumishi hawakopikopi hovyo hadi kuathiri utendaji wao makazini wa kuwahudumia wananchi wengine.
 
Soma na hii ikisaidie acha kukariri:

 
🤣 🤣 🤣 Serikali zenyewe zina ukomo wa kukopa,sembuse mtumishi?
 
Kama mshahara ni duni, lazima atakopa hata mitaani na ndio maana nakwambia hii sheria ya moja ya tatu iko kinadharia tu.
 
Kama mshahara ni duni, lazima atakopa hata mitaani na ndio maana nakwambia hii sheria ya moja ya tatu iko kinadharia tu.
Ukishaona mtumishi anakopa-kopa mtaani hovyo,ni lazima ajitathmini yeye mwenyewe kibinafsi.Hata taasisi ambazo haziangalii sheria na taratibu za nchi ni taasisi hovyo tu.Na hii nchi imefikishwa hapa na kijani kwenye mambo mengi kwa mambo ya hovyohovyo tu ikiwemo mwendazake aliyekuwa anakopakopa bila utaratibu kwa kufisha madeni halisi ili akopesheke at the expense ya wananchi wote,sasa nani atusaidie if we are not smart enough?
 
Mishahara ikipanda ndio itakuwa suluhu, subirini tujenge nchi.
 
Kama mshahara ni duni, lazima atakopa hata mitaani na ndio maana nakwambia hii sheria ya moja ya tatu iko kinadharia tu.
Huna akili wewe,kwa hyo Serikali isitimize wajibu wake kwa kuepuka wewe kukopa mtaani?
 
Huna akili wewe,kwa hyo Serikali isitimize wajibu wake kwa kuepuka wewe kukopa mtaani?
Ukisoma Threads za mleta mada, utajua ni nini anapitia.

 
Ukisoma hapa, utajua hali ya uchumi ya mleta mada siyo nzuri.

 
Wazo zuri ingawaje system yetu ya mikopo haijakaa vizuri nadhan kwa kuanzia tushushe kwanza interest rate hd single digits then tuangalie system nzuri ya kuwezesha watu kukopea hizo posho changamoto inakuja hatuna uhakika wa uendelevu wa hizo posho so risk kwa bank inakuwa kubwa Sana mfano wakuu wa shule Wana posho ya madaraka 200000 ghafla kajisahau kuhudhuria mbio za mwenge kademotiwa posho hakuna risk inabaki kwa mabank
 
Kuna taasisi zina posho mahususi kwa watumishi wake na hutoka kila mwezi tena ni kubwa tu kuzidi mishahara ya baadhi ya wafanyakazi katika taasisi zingine na hawa ndio nawalenga hapa.

Mtu una posho ya shilingi 400,000 au 500,000 kila mwezi, kwaninii usiruhusiwe kuchulua mkopo wa muda mfupi mfano miezi 6 na ukafanya miradi yako, ukamalizia ujenzi wa nyumba, n.k?
 
Sawa sawa mkuu, ikiwa hiyo 1/3 ndio limit ya kukopea kwa sababu ili angalau wabaki na pesa ya basic needs, lakini bado kwenye hizi micro finance organisations zinawakopesha mpaka wanaacha ATM card zao, wao wanakuwa wanalindwa na sheria ipi hao wakopeshaji wa kimtaa mtaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…