Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani!
Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili!
Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi, sekondari au chuo!
Nashauri adhabu ya hawa iongezwe iwe hata kuanzia 40 years au hata maisha na kutolewa uwezo wa kuzaa kwa walimu husika!
Cha pili tunaomba serikali ikithibitika mwalimu kabaka au kulawiti yaana ndani ya siku 7 awe ameshafungwa iwe fundisho!
Kingine takukuru watoe elimu mashuleni jinsi ya watoto kuripoti matukio haya mabaya ili kuwalinda
Mimi ikitokea nimemkamata mwalimu anafanya kitendo hiki kwa mtoto, naapa hatafika hata polisi ntalizana nae kimya kimya na tutaandaa jamvi tu kuaga tu basi