Serikali kupunguza kodi za nyumba.

Serikali kupunguza kodi za nyumba.

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Serikali kupitia waziri wa nyumba na maendeleo ya jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo tar.01-07-2017 bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali. Yaani kama ulikuwa unalipa chumba.50,000 sasa utalipa 25,000.
Ni huko Burkinafaso, bongo bado sana! we andaa kodi ya mwenye nyumba.
 
Kwa hiyo nihamie tu huko Burkina Faso kwa maana BONGO BAHATI MBAYA
 
Serikali kupitia waziri wa nyumba na maendeleo ya jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo tar.01-07-2017 bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali. Yaani kama ulikuwa unalipa chumba.50,000 sasa utalipa 25,000.
Ni huko Burkinafaso, bongo bado sana! we andaa kodi ya mwenye nyumba.
Utekelezaji unakuwaje?
 
Umeshakula maharage ya lumumba basi kilichobaki ni kupost tuu ushuzi.
 
Back
Top Bottom