Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Serikali ya Tanzania inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya nje kwa asilimia 30.8. Kwa Mwaka 2023/24 Serikali inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya ndani kwa asilimia 23.5
Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia zaidi ya 12.
Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia zaidi ya 12.