Kama yameongezeka, katika mwaka ujao wa fedha, ilo ongezeko walitumie kuajiri walimu, wauguzi, madaktari wapya na fani nyinginezo hasa wahasibu, bankers (cashiers) wa mashule na mahospitali nk, takribani waajiriwa wapya elfu kumi. Kiwango cha ukopaji kibaki pale pale.