Kipindi kile yalikuwa mashindano yenye tija na ushindani kwa maana bingwa alipata nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye Klabu bingwa ya Afrika.Ni vyema kama itarudishwa.
Yawepo tu hata kama kipolitike.Kipindi kile yalikuwa mashindano yenye tija na ushindani kwa maana bingwa alipata nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye Klabu bingwa ya Afrika.
Ila baada ya Zanzibar kupata nafasi yao huko CAF mashindano yakafa.
Hivyo yakirudi yatakuwa kama bonanza tu, na kujaza kalenda ya michezo.
muhimu waangalie hz nafasi za timu huko caf.kwa sasa zanzibar 2 .bara 4Kipindi kile yalikuwa mashindano yenye tija na ushindani kwa maana bingwa alipata nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye Klabu bingwa ya Afrika.
Ila baada ya Zanzibar kupata nafasi yao huko CAF mashindano yakafa.
Hivyo yakirudi yatakuwa kama bonanza tu, na kujaza kalenda ya michezo.
nyie hua mnajifanyaga special sana ajabu hata huko mnakodahi mpo hakuna la maanaYaani timu kama simba ikacheze na vijitimu vya Zanzibar!? Huku ni kupotezeana muda aisee. Ni sawa na timu za ulaya kujakucheza bongo.
Yanga hawezi leta fyoko maana ni timu ya chama ila Simba akileta fyoko, Mo anaweza tekwa tena.Hapa target clubs ni simba na yanga, sasa wakitaka matatizo walete fyoko kujifanya calendar zao zimebana, hili swala limekaa kisiasa zaidi
Nashauri libaki kombe la mapinduzi tuu linatosha
Kwa nini yasianzishwe mashindano yanayoshirikisha timu zilizoshika mkia katika ligi hizi mbili. Tuwe wabunifu.Yaani timu kama simba ikacheze na vijitimu vya Zanzibar!? Huku ni kupotezeana muda aisee. Ni sawa na timu za ulaya kujakucheza bongo.
Best looser 😂😂😂Kwa nini yasianzishwe mashindano yanayoshirikisha timu zilizoshika mkia katika ligi hizi mbili. Tuwe wabunifu.
Labda kuwe na mechi moja tu baina ya bingwa wa NBC PL vs bingwa wa Zanzibar tena ifanyike kwa zamu, mwaka huu bara na mwaka ujao Zanzibar.Kipindi kile yalikuwa mashindano yenye tija na ushindani kwa maana bingwa alipata nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye Klabu bingwa ya Afrika.
Ila baada ya Zanzibar kupata nafasi yao huko CAF mashindano yakafa.
Hivyo yakirudi yatakuwa kama bonanza tu, na kujaza kalenda ya michezo.