ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo inaruhusu Wakulima wake wawe wanaibiwa na kinyonywa Kwa kuruhusu matumizi ya kilo 100 kama kipimo rasmi Cha kuizia bidhaa za nafaka badala ya kilo 90 kama ilivyo Nchi nyingi.
Je Serikali haioni inakwamisha jitihada za kumkomboa mkulima? Ukiacha kwamba Kuna vipimo batili vingi kama matumizi ya ndoo lakini hii ya kuuza gunia la kilo 100 💯 ni wizi rasmi uliohalalishwa.
Serikali mna Kauli gani Kwa Hilo?
View: https://www.instagram.com/reel/DFxce2rt6Sg/?igsh=MXF1N2hvdHA4Mm8zbw==