Serikali Kuruhusu Matumizi ya Kipimo Cha Kilo πŸ’― Kwa gunia Kwa nafaka badala ya kilo 90 Kama Ilivyo Nchi Zingine ni Wizi Kwa Wakulima

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo inaruhusu Wakulima wake wawe wanaibiwa na kinyonywa Kwa kuruhusu matumizi ya kilo 100 kama kipimo rasmi Cha kuizia bidhaa za nafaka badala ya kilo 90 kama ilivyo Nchi nyingi.

Je Serikali haioni inakwamisha jitihada za kumkomboa mkulima? Ukiacha kwamba Kuna vipimo batili vingi kama matumizi ya ndoo lakini hii ya kuuza gunia la kilo 100 πŸ’― ni wizi rasmi uliohalalishwa.

Serikali mna Kauli gani Kwa Hilo?

View: https://www.instagram.com/reel/DFxce2rt6Sg/?igsh=MXF1N2hvdHA4Mm8zbw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…