#COVID19 Serikali kusambaza takriban dozi milioni 1.16 kutoka Mpango wa COVAX Facility Initiative

#COVID19 Serikali kusambaza takriban dozi milioni 1.16 kutoka Mpango wa COVAX Facility Initiative

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kuimarisha na kuhamasisha jamii kupata chanjo dhidi ya UVIKO - 19 pamoja na kuendelea kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo;

Sekta ya Afya inaimarisha upatikanaji wa huduma za chanjo ya UVIKO – 19 kwa:-

Kugomboa, kutunza na kusambaza takribani dozi milioni 1.16 kutoka Mpango wa COVAX Facility Initiative. Vilevile sekta itanunua chanjo dozi 311,765 iwapo zitahitajika tofauti na zile zinazotolewa na COVAX Facility.

Kuendelea kuhamasisha jamii kujikinga na maambukizi ya UVIKO - 19 na magonjwa mengine ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.
 
Back
Top Bottom