Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina.
Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao!
Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi?
Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?