Serikali Kuu ya JamiiForums

Siungi mkono hoja
 
Kakosea kukupa Nafasi Nyeti wewe Hali ya kuwa ni Mnyarwanda
 
Kwahiyo mimi ni mwananchi tu wa kawaida nipe madaraka pls
 
Mkuu mi hapo mbona sioni cheo changu au ndio simo japo nipo?[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Musiba wa JF
. Kawe Alumni.
 
Kama Kiduku Lilo hayupo basi serikali yako haijatimia.

Ongeza wizara maalum ya watu wa kujisifu na show off.
Kiduku Lilo awe waziri
 
Dada mimi nakubishana is where and where πŸ˜‚πŸ™† sijui kubishana sijui kuandika comment ndefu kama za Karma au zako

Wajumbe wa kamati ya burudani na michezo uko at least nikiwa sambamba na Saint anne πŸƒπŸƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…